top of page

Alhidaaya Da'wah
Elimu Ni Nuru Ya Maisha

Misingi Yetu

Qur'ani na Sunna kwa Ufahamu wa Wema Waliotangulia

Anasema Imam Muhammad bin Siiriin Allah Amrehemu: "Hakika Elimu hii ni Dini, basi tazameni ni kwa nani mnachukua Dini Yenu"

vijana.png

Kijana Wa Kiislamu katika Jamii

Shikamaneni na Qur'ani na Sunnah mkijipamba na maadili mema wakati wote. Kuweni mstari wa mbele kuhudumia familia, misikiti na jamii yenu kwa moyo mweupe.

WASILIANA NASI

alhidaayadawah@gmail.com

bottom of page