top of page
Mada za Aqida (Itikadi)
Aqida ni kila anachokiamini Mtu na kukiitakidi, na katika Uislamu: Ni imani sahihi ya Muislamu iliyojengwa katika misingi ya nguzo sita za Imani, zinazo anza na kumuamini Mwenyezi Mungu. Na ndio msingi wa kwanza wa Dini, kwani hakuna matendo yoyote yanayoweza kukubalika kwa Mwenyezi Mungu endapo mtu imani yake itakuwa si sahihi.
Itikadi potofu dhidi ya Uislamu?
Itikadi potofu zilizonasibishwa na Uislamu
Nini Maana ya Uislamu?
Uislamu ni: Unyenyekevu na utiifu Kwa Mwenyezi Mungu
Chukua Aqida yako kutoka katika Qur'ani na Sunnah
Itikadi sahihi ya Uislamu inatoka katika Qur'ani na SUnna, na sio matamanio ya mtu
bottom of page